Privacy Policy

How we collect, use, and protect your data.

Sera hii inaelezea jinsi UNIDA TECH LIMITED (“AcNova”, “sisi”) tunavyoshughulikia taarifa zako wakati unatumia mifumo yetu ya umwagiliaji na dashibodi.

1. Scope

Inatumika kwa tovuti, dashibodi, vifaa (sensa/valves/gateway), na mawasiliano ya huduma (barua pepe/SMS).

2. Data we collect

  • Account/Contact: jina, barua pepe, simu, nenosiri (kimfumo kishikwe kwa usimbaji).
  • Operational/Device: vipimo vya sensa (unyevu, mtiririko, presha), matukio ya kumwagilia, na metadata ya kifaa.
  • Usage/Logs: kurasa ulizotembelea, anwani ya IP, kivinjari, cookies muhimu kwa utendaji.
  • Communications: mawasiliano ya support, orodha ya wanachama (subscribers) kwa taarifa/alerti.

3. How we use data

  • Kutoa huduma (udhibiti & uchanganuzi wa umwagiliaji).
  • Kuboresha ubora, usalama, na vipengele vipya.
  • Arifa muhimu, bili/miamala, na mawasiliano ya huduma.
  • Masoko ya hiari (kwa waliokubali/confirmed subscribers, na kila barua ina “unsubscribe”).

4. Sharing & third parties

Hatushiriki data zako kwa uuzaji holela. Tunaweza kushiriki na watoa huduma wanaotusaidia (mf. cloud hosting, barua pepe) kwa mkataba wa usiri na kwa madhumuni yaliyotajwa.

5. Security

Tunatumia HTTPS, uthibitishaji, udhibiti wa upatikanaji, na mbinu za ulinzi wa data. Hakuna mfumo ulio “zero-risk”, hivyo tunapokea taarifa haraka za tukio lolote la usalama.

6. Retention

Tunaweka data muda unaohitajika kutoa huduma, kutimiza wajibu wa kisheria, au kusuluhisha mizozo. Data ya kifaa inaweza kuelezewa kama historia ya shughuli kwa ajili ya takwimu.

7. Your rights

  • Upatikanaji, urekebishaji, au ufutaji wa akaunti/data kadri sheria inavyoruhusu.
  • Kuzuia uuzaji wa taarifa zako za kibinafsi (kama inahitajika kisheria).
  • Kuondoka kwenye barua za masoko kupitia unsubscribe.

8. Contact

Maswali/maombi: info@unida.tech au Contact.


Sera hii inaweza kubadilika mara kwa mara. Tutaonyesha tarehe ya “Last updated”.