Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Majibu ya haraka kuhusu AcNova Smart Irrigation.

Jedwali la Maudhui

Last updated: Sep 20, 2025

Ufungaji & Vifaa

Tunashauri intaneti (Wi-Fi au 4G) kwa ufuatiliaji “real-time”. Bila intaneti, vifaa vitafanya kazi za msingi lakini dashibodi haitapata data live.

Soil moisture, flow meter, pressure, na hali ya hewa ya karibu. Pia tunasaidia gateway (LoRa/Wi-Fi) kulingana na ukubwa wa shamba.

Bei & Malipo

Vifaa hulipiwa mara moja; huduma ya dashibodi/analytics inaweza kuwa na ada ndogo ya kila mwezi kwa updates na kuhifadhi data.

Ndiyo, tuna “Starter Kit” na “Pro Automation Bundle”. Angalia Products au wasiliana nasi kwa bei ya mradi maalum.

Data & Faragha

Ndiyo. Tunatumia HTTPS, udhibiti wa upatikanaji, na uhifadhi salama. Tazama Privacy Policy.

Ndiyo, tuma ombi kupitia Contact. Tutashughulikia ndani ya muda unaofaa kulingana na sera.

Uendeshaji & Support

Tunatoa msaada wa ufungaji, mafunzo mafupi, na support kwa njia ya simu/barua pepe. Pia tunapatikana kwa matengenezo ya mara kwa mara.

Tuna chaguo la backup (battery/solar) kwa vifaa muhimu. Wasiliana nasi kulingana na mahitaji ya eneo lako.

Hujaona jibu lako? Wasiliana nasi tutakusaidia.